Tangazo Muhimu Kutoka UTUMISHI

Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwajulisha wale wote walioitwa kwenye usaili kuhuisha (update) taarifa zao kwa ajili ya kupangiwa kituo cha usaili kilicho karibu na eneo unaloishi.

Eneo la kuzingatia wakati wa kuhuisha taarifa ni eneo la Tarifa binafsi (Personal Details), Mkoa uliopo kwa sasa (Current Resident Region) na Wilaya uliopo (Current Resident District).

Mwisho wa kuhuisha taarifa hizo ni tarehe 10 Juni 2024.

Hakutakuwa na nafasi ya kubadili eneo la usaili baada ya terehe tajwa hapo juu kwani usaili utapangwa kulingana na Idadi ya wasailiwa katika kituo husika.

 

READ THIS:

1 Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*